Home / GOSSIP / Niambie – Harmonize Lyrics

Niambie – Harmonize Lyrics

VERSE 1
Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby
Kupendana zamani ndo wanavyosemaga
Wazuri ni wengi , ila uongo mwingi baby
Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga
Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga
Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah
PRE KORASI 
oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
KORASI

Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie

Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho

VERSE 2
Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba
Vipi nikija Tunda oooooh oooh
Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga
Wanakumendea Chunga oooh oooh
 
PRE KORASI
Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
KORASI

Niambie , Tell me baby love,oooh Basi niambie

Vipi unanipenda ingali sina doo , Usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea….  kipi mama,(basi sema  )  Umenipendea ingali sina Doo

 

Comments

comments

Check Also

Licha ya kufanya kazi pamoja ndani ya WCB, Rayvanny amfananisha hivi Diamond Platnumz

  Msanii kutoka WCB Wasafi Raymond a.k.a Rayvanny amefunguka na kusema kuwa vitu vyenye majina …

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.