Home / NEW MUSIC / Diamond Platnumz – Acha Nikae Kimya Lyrics

Diamond Platnumz – Acha Nikae Kimya Lyrics

Verse 1:
Mmm mmm
Mama ananambia Nassib mi ni
Mtu mzma nawe ndo nakutegemea
Yanayotokea jaribu kupiga kimya
Usidiriki ata kuongea
Mara nasikis vya aibu konda gwajima
Eti ugomvi umekolea
Kuchunguza karibu ni binti mmoja
Kwa mitandao wanachochea
Najariibu kunyamaza ila moyo hautakii
Unanambia eti simba japo unguruma uisemee hakii
Ooh najaribu kunyamaza ata laizer ataki yooh
Anasema walau nena kidogo hiih

Hook:

Na mashsbiki Dangote
Wananambia mbona husemi chochote ah
Si uko siku zote
Ama ulezi unafanya uogope ah
Na media pande zote
Wanalalama kiongozi atoke eh
Nchi inaingia matope
Niende wapi na mi mtoto wa wote

Chorus:
Yaani lawama wacha nikae kimya
MMh nisiongee (Kimya)
Ooh ninyamaze mimi (Nikae kimya)
Nisiseme (Kimya)
Mama kanambia (Wacha nikae kimya)
Ooh nifunge mdomo (Kimya)
Mie bado mdogo sana (Nikae kimya)
Nisiseme (Kimya)

Verse 2:
Mmh ni mengi majaribu
Najittaidi epuka yasije nipost
Japo mengine swadakta mengine hayana maana
Rafiki kipenzi wa karibu
Hata nyimbo yake sikuweza ipost
Ila alivokamatwa iliniumiza sana
Mitandaondi kila kona
Uongo na ukweli unashonwa
Kila nyumba inanong’ona
Ah oh Tanzania
Mara kimbembe Dodoma
Bunge upinzani wamegoma
Juzi akapotea na Roma

Hook:
Ohh Tanzania, Ooh
Najaribu kunyamaza
Makame hataki yooh
Ananambia walau nena kidogo
Nyumbani nafungua gate
Niende kwa Mangi nunua super gate eh
Napewa za chini ya kapeti
Kuna redio imevamiwa kefti eh
Napita kwenye (Magazeti)
Nakuta rundo la wetu (Wameketi) eh
Badala ya kutafuta cent
Wanabishana tu mambo ya vyeti

Chorus:
Wacha nikae kimya
Ooh nisiongee (Kimya)
Ninyamaze Kabisa (Nikae kimya)
Eh ulimi koma (Kimya)
Usije kunipoonza!(Acha nikae kimya)
Nifunge bakulu lanhu! (Kimya)
Nikojoe nikalale (Nikae kimya)
Mi bado mdogo sana (Kimya)
Mama kanambia

Outro:
Oh najiuliza (Waaaapi)
Najiulii (Waapi)
Tunakwenda wapi (Waapi)
Kila siku maneno (Waaaa)
Ah tuacheni jamani (Waaapi)
Mi na we ni taifa moja (Waaapi)
Kambarage baba mmoja (Waaaa)
Sa tofauti za nini tushikamane tukaijenge Tanzania

 

Diamond Platnumz – Acha Nikae Kimya Lyrics

Comments

comments

Check Also

Diamond Platnumz Ft Rayvanny – Iyena

Diamond Platnumz Ft Rayvanny – Iyena Comments comments

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.