Home / GOSSIP / DIAMOND NEW BABY BOY

DIAMOND NEW BABY BOY

mondi

06th Dec 2016 03: 35am SA time…… 04: 35am EAST Time…. 02: 35am WEST Time…. 01: 35 am NORTH Time, A NEW STAR WAS BORN in NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA…. unfortunately his parents Dad & Mom haven’t agreed on the name…. that’s why it even took time, to his advent to be on his parent’s Social media Pages….. Let’s wait and See, what @zarithebosslady & @Diamondplatnumz will ended up call him…
(Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa… kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake…. tusubiri tuone @zarithebosslady na @DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao…✍ )

15400348_1285087704846374_3541623588858597013_n simba

Comments

comments

Check Also

Licha ya kufanya kazi pamoja ndani ya WCB, Rayvanny amfananisha hivi Diamond Platnumz

  Msanii kutoka WCB Wasafi Raymond a.k.a Rayvanny amefunguka na kusema kuwa vitu vyenye majina …

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.